Maporomoko ya matope yalisababishwa na mvua za masika mashariki mwa Uganda yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 30 - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maporomoko ya matope yalisababishwa na mvua za masika mashariki mwa Uganda yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 30

Maporomoko ya matope yalisababishwa na mvua za masika zinazonyesha katika maeneo ya milimani mashariki mwa Uganda yamesababisha msiba mkubwa na hasara ya kuporomoka kwa majumba na daraja katika wilaya ya Bududa.Watu 34 wamefariki Uganda kufuatia maporomoko ya matope yalisababishwa na mvua za masika zinazonyesha katika maeneo ya milimani mashariki mwa nchi hiyo.Maeneo hayo yanajulikana kwa majanga ya aina hiyo amesema afisa mmoja wa shirika la msalaba mwekundu.


Wahanga zaidi huenda wakagulika wakati timu ya uonkoaji ikiyafikia maeneo yote yaliyoathirika katika maeneo ya chini ya mlima Elgon.Msemaji wa shirika la msalaba mwekundu Irene Nakasita ameeleza hayo na kufafanua kwamba watu wamefariki kutokana na kuangukiwa na maporomoko na mawe yaliyoporomoka kutoka milimani kufuatia mvua za mfululizo ambazo zimenyesha kwa kipindi kirefu siku ya alhamisi mchana katika wilaya ya Bududa.Majumba yaliharibiwa katika takriban vijiji vitatu na kuna pia waliopatikana baadhi ya viongo vyao tu kutok... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More