‘MAPRO’ WA SIMBA SC KUANZA KUREJEA KESHO, MECHI IJAYO JUMAMOSI NA NDANDA FC NANGWANDA SIJAONA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

‘MAPRO’ WA SIMBA SC KUANZA KUREJEA KESHO, MECHI IJAYO JUMAMOSI NA NDANDA FC NANGWANDA SIJAONA

Na Lulu Ringo, DAR ES SALAAM
WACHEZAJI wa Simba SC waliokuwa na timu zao za taifa kwa ajili ya mechi za kimataifa mwishoni mwa wiki wanatarajiwa kuanza kurejea kesho kuungana na wenzao kwa maandalizi ya mchezo ujao wa Ligi Kuu.
Kocha Mtunisia wa mazoezi ya viungo wa Simba SC, Adel Zrane amesema kwamba, wachezaji waliokuwa Uganda beki Juuko Murshid na mshambuliaji Emmanuel Okwi watarudi kesho.
Lakini kuhusu kiungo Mzambia, Cletus Chama Mtunisia huyo amesema anaweza kurudi kesho kutwa ingawa akashindwa kutaja siku ya kurejea kwa kiungo Haruna Niyonzima na mshambuliaji Meddie Kagere kutoka Rwanda.

Kiungo Mzambia, Cletus Chama (kushoto) anatarajiwa kurejea keshokutwa

“Okwi na Kagere wanarudi kesho, Chama hatoweza kurudi kesho labda kesho kutwa hivyo. Tunategemea hivi karibuni tutakua na kikosi chetu kamili na kama mnavyoona kipa wetu Aish Manula naye amerejea kutoka timu ya taifa ya hapa na leo tulikuwa naye katika mazoezi,” alisema.
Baada ya mwanzo mzuri katika Ligi Kuu wakishinda mechi mbi... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More