Mapromoko ya ardhi Uganda: Kuna hofu huenda idadi ya waliyofariki ikaongezeka - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapromoko ya ardhi Uganda: Kuna hofu huenda idadi ya waliyofariki ikaongezeka

Maporomoko hayo ya ardhi yaliosababishwa na mvua kubwa mashariki mwa Uganda yamesababisha mto uliyokuwa karibu kuvunja kingo zake na maji yaliyo changanyikana na matope yakaanza kusomba kijiji kizima.


Source: BBC SwahiliRead More