Mapya kutoka Apple: iPad Pro 2018 na Penseli Janja - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapya kutoka Apple: iPad Pro 2018 na Penseli Janja

Apple wametambulisha bidhaa kadhaa mwisho wa mwezi Oktoba 2018. Katika tukio lililofanyika tarehe 30 huko nchini Marekani Apple walitambulisha MacBook Air 2018, Mac Mini, iPad Pro 2018 pamoja na Penseli janja kwa ajili ya kutumika katika iPad Pro. Unaweza kusoma uchambuzi wa MacBook Air 2018 na Mac Mini – HAPA. Katika makala hii tutazungumzia iPad [...]


The post Mapya kutoka Apple: iPad Pro 2018 na Penseli Janja appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More