Mapya kutoka Apple: MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapya kutoka Apple: MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya

Apple watambulisha MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya. Mwezi wa tisa mwaka huu Apple walifanya utambulisho wa simu zao mpya za iPhone ila kwa tukio hili la Oktoba wamejikita zaidi katika laptop mpya, iPad na vitu vingine vidogo vidogo (gadgets). Kwa ambao walishindwa kufuatilia tukio hilo moja kwa moja, Teknokona tunakuletea mambo makuu yaliyojiri [...]


The post Mapya kutoka Apple: MacBook Air 2018 na Mac Mini mpya appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More