Mapya yaibuka kikao cha Mourinho na bosi wa United, Zlatan kurudishwa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mapya yaibuka kikao cha Mourinho na bosi wa United, Zlatan kurudishwa

Mapya yameonekana kuibuka baada ya kikao cha faragha baina ya mkurugenzi wa klabu ya Manchester United, Ed Woodward dhidi ya Jose Mourinho kilichofanyika hapo jana siku ya Alhamisi.Kikao hicho kilichotangazwa siku mbili zilizopita kuwa wawili hao wangekutana ndani ya saa 48 zijazo na kujua hatma ya klabu hiyo ambayo imeonekana kutoanza vyema msimu huu huku wengi wakifikiria kutakuwana maamuzi magumu ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho imeonekana kuwa ni tofauti na matarjio ya wengi.


Mbivu na mbichi kuhusu Jose Mourinho kujulikana saa 48 zijazo


Licha ya kutojua hasa kilichoendelea ndani ya kikao hicho kwakua Mreno huyo bado anaendelea na majukumu yake kama kawaida ila tofauti na matarajio ya wengi, Mourinho amehitaji kumrudisha aliyekuwa mshambuliaji wa Man United, Zlatan Ibrahimovic kwenye dirisha la usajili la mwezi Januari.


Zilatan mwenye umri wa miaka 37, ameondoka klabuni hapo na kujiunga na timu ya LA Galaxy ya nchini Marekani mwezi Machi baada ya kushindwa kukisaidia kikosi c... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More