Mara Paap! Vitani kuwakabili waajiri wao wa zamani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mara Paap! Vitani kuwakabili waajiri wao wa zamani

HAYA ule muda wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umeshafika unaambiwa. Kesho Jumanne na keshokutwa Jumatano, mechi za raundi ya 16 bora kwenye michuano hiyo zitapigwa, lakini kitu kinachovutia ni kwamba kuna wachezaji kadhaa watakuwa na mtihani wa kuzikabili klabu zao za zamani kwenye hatua hiyo ya mtoano.


Source: MwanaspotiRead More