Maradhi ya Ebola kutokomezwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ifikapo Julai 25 - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maradhi ya Ebola kutokomezwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ifikapo Julai 25

Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,  imetangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutokomezwa maradhi ya Ebola nchini humo ifikapo tarehe 25 ya mwezi huuu wa Julai. Taarifa ya wizara hiyo imebainisha kwamba, nchi hiyo inasubiri kwa hamu tarehe 25 ili kutangaza kutokomezwa kwa ugonjwa wa Ebola nchini humo, iwapo kutakuwa hakujaripotiwa kesi mpya


Source: Kwanza TVRead More