MARAIS NCHI ZA SADC WANASHIRIKIANA VEMA KUTATUA CHANGAMOTO-MKAPA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MARAIS NCHI ZA SADC WANASHIRIKIANA VEMA KUTATUA CHANGAMOTO-MKAPA

Na Leandra Gabriel Michuzi TV
RAIS wa Awamu tatu Benjamin William Mkapa amesema nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zina amani ya kutosha huku akitumia nafasi hiyo kuelezea namna ambavyo marais wa nchi za jumuiya hiyo wamekuwa wamoja katika kutatua changamoto mbalimbali kwa lengo la kuleta maendeleo ya wananchi.
Amesema kuwa changamoto zinazoikumba jumuiya hiyo ni pamoja na masoko, umaskini, kiwango kidogo Cha uwekezaji,kiwango duni cha teknolojia na changamoto ya miundombinu rafiki ndani ya jumuiya ni mambo yanayotakiwa kuangaliwa kwa jicho la pekee ili kuweza kuendana na dhima ya jumuiya hiyo ambayo daima imejikita katika kuhakikisha uchumi, uzalishaji, utawala Bora amani na ulinzi vinapewa kipaumbele zaidi.
Akiwa amestaafu katika nafasi hiyo ya uenyekiti wa kwa miaka 14 Sasa Mkapa amesema kuwa Kuna mambo lazima yawekewe mkazo na hayo ni pamoja na kuongeza uzalishaji katika nchi wanajumuiya, viwanda ambavyo vitakakata bidhaa zinazozalishwa, uwekezaji pamoja... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More