Marcelo atoboa siri Ronaldo, Neymar - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marcelo atoboa siri Ronaldo, Neymar

Beki wa Real Madrid, Marcelo amefyumu na kufunguka kwamba Cristiano Ronaldo si mmiliki wa Real Madrid na kama anataka kuondoka sio ishu licha ya kwamba wachezaji wangependa sana abaki kwenye timu yao.


Source: MwanaspotiRead More