MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAREHEMU ALI FEREJ TAMIN ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA BLATTER

MAREHEMU Ali Ferej Tamin (Kushoto) na aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Ali Juma Shamuhuna, walipotembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA) jijini Zurich, Uswisi miaka kadhaa iliyopita wakiwa na Rais wa zamani wa shirikisho hilo Josep Blatter. Walikuwa wamepeleka ombi la kutaka Zanzibar ipewe uanachama wa FIFA ambalo lilikataliwa kwa madai kuwa visiwa hivyo havina mamlaka kamili.


Source: Bin ZuberyRead More