Marekani, China washusha uchumi wa Dunia - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marekani, China washusha uchumi wa Dunia

MIVUTANO ya kibiashara ya kidunia imetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kushuka kwa uchumi  wa dunia katika kipindi cha mwaka 2018/2019 huku vita ya kibiashara baina ya nchi ya Marekani na China ikihatarisha kuvurugika kwa mwenendo wa biashara za kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo na Shirika la Fedha ...


Source: MwanahalisiRead More