Marekani kupunguza vikwazo kwa Huawei, Huawei wasema hawana uhakika bado - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marekani kupunguza vikwazo kwa Huawei, Huawei wasema hawana uhakika bado

Kupitia maneno ya rais wa Marekani, tayari inaonekana serikali ya Marekani ipo njiani kupunguza vikwazo kwa Huawei. Inaonekana nguvu ya ushauri wa makampuni ya Marekani kwa serikali yao imeleta matunda. Kwa kipindi kirefu tokea serikali ya Marekani chini ya Rais Trump kuweka vikwazo vya kibiashara dhidi ya Huawei kutumia bidhaa za kiteknolojia – hasa hasa [...]


The post Marekani kupunguza vikwazo kwa Huawei, Huawei wasema hawana uhakika bado appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More