Marekani na Tanzania zafanya kumbukizi ya miaka 20 ya shambulio la kigaidi - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marekani na Tanzania zafanya kumbukizi ya miaka 20 ya shambulio la kigaidi

Taifa la Marekani leo limefanya maadhimisho ya miaka 20, ya mashambulizi ya kigaidi katika balozi za Marekani jijini Dar es Salaam na Nairobi ambayo yalifanyika Agosti 7 mwaka 1998 kwa kuwaenzi waathiriwa wa mashambulizi hayo kwa kuweka mashada ya maua katika makumbusho mapya yaliyopewa jina Tumanini baada ya Majonzi. Akizungumzia matukio hayo ya kusikitisha na


Source: Kwanza TVRead More