MAREKANI, UINGEREZA WAUNGANA KUKEMEA KINACHOENDELEA NCHINI TANZANIA - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAREKANI, UINGEREZA WAUNGANA KUKEMEA KINACHOENDELEA NCHINI TANZANIAMabalozi wa nchi za Uingereza na Marekani nchini Tanzania wamesikitishwa na kinachoendelea nchini na mfumo wa utoaji haki kwa ujumla.  
Katika waraka waliouandika kwa pamoja, wameisihi Serikali ya Tanzania kuhakikisha kuwa utoaji haki kwa Raia unabaki kuwa wajibu wao kwa mujibu wa Mikataba ya Kimataifa. ... Continue reading ->Source: Mwanaharakati MzalendoRead More