Marekani yaanza kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marekani yaanza kutekeleza vikwazo dhidi ya Iran

Vikwazo vikali zaidi vya Marekani dhidi ya Iran, vinaanza kutekelezwa leo Jumatatu. Uongozi wa Trump,  ulirejesha vikwazo vyote vilivyotolewa wakati wa makubaliano ya mwaka 2015, vikiilenga Iran na nchi zinazofanya bishaara nayo ambapo vitalenga mauzo ya mafuta, usafiri kwa njia ya baharini na mabenki ambavyo vyote ni muhimu sana kwa uchumi. Maelfu ya raia wa


Source: Kwanza TVRead More