Marekani yatoa tahadhari tishio la Tanzania kushambuliwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marekani yatoa tahadhari tishio la Tanzania kushambuliwa

UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania, umeleza kuwepo mipango ya matukio ya mashambulizi kwenye hoteli na migahawa jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kutokana na kitisho hicho, ubalozi huo umetoa tahadhari kwa raia wake waishio hapa nchini kwa kuwataka kuwa makini. Taarifa hiyo iliyotolewa leo tarehe 19 Juni 2019 imeeleza kuwa, maeneo yaliyolengwa ...


Source: MwanahalisiRead More