MAREKANI YAWAAPISHA WAFANYAKAZI 59 WA KUJITOLEA KUSAIDIA AFYA NA KILIMO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAREKANI YAWAAPISHA WAFANYAKAZI 59 WA KUJITOLEA KUSAIDIA AFYA NA KILIMO

Na Hussein Stambuli, Morogoro
Ubalozi wa marekani umewaapisha wafanyakazi wa kujitolea wapatao 59 raia wa marekani watakao hudumu nchini ndani ya wilaya 35 kwa muda wa miaka 2 katika sekta ya kilimo na afya lengo kuongeza uzoefu na maarifa mapya katika sekta hizo…

Akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kuwaapisha wafanyakazi hao kutoka shirika la wafanyakazi wa kujitolea wa kimarekani peace corps kaimu balozi wa marekani dk inmi patterson amesema kuwa wafanyakazi hao wataongeza uzoefu na maarifa katika sekta ya kilimo hasa kwa wakulima wadogo huku katika upande wa afya wakiwa na lengo la kujenga uelewa juu ya ugonjwa wa hiv na utapiamlo.

“Kupitia program hii mtaweza kuleta mabadiliko kwa watanzania mtakaofanya nao kazi na hata kwenu nyinyi wenyewe” amesema dr inmi patterson

Naibu waziri ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) mwita mwikabe amesisiti viongozi wa wilaya walizopangiwa wafanyakazi hao wameombwa kudumisha ushirikiano na wafanyakazi ha... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More