Mark Hughes: Southampton wamfuta meneja wao baada ya miezi minane kufuatia sare na Manchester United - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mark Hughes: Southampton wamfuta meneja wao baada ya miezi minane kufuatia sare na Manchester United

Southampton wamethibitisha kufutwa kwake kupitia taarifa, na kuongeza kwamba : "Mchakato wa kumtafuta meneja mpya wa kuipeleka mbele klabu hiyo tayari umeanza."


Source: BBC SwahiliRead More