Martial arejeshwa tena Ufaransa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Martial arejeshwa tena Ufaransa

Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps, ametaja kikosi kwaajili ya kujiandaa na mechi za kufuzu Euro mwaka 2020


Winga wa Manchester United, Anthony Martial amerudishwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwaajili ya mechi za kufuzu Euro dhidi ya Maldova na Iceland.


Martial aliachwa na kikosi cha Ufaransa kilichoshinda ubingwa wa Kombe la Dunia katika majira ya kiangazi mwaka 2018.


MAKIPA: A. Areola, H. Lloris na S. Mandanda


MABEKI: L. Digne, B. Pavard, R. Varane, P. Kimpembe, D. Sidibe, K. Zouma, L. Kouzawa na S. Umtiti


VIUNGO: B. Matuidi, M. Sissoko, T. Ndombele, N. Kante, na Paul Pogba


MAFOWADI: K. Koman, A. Griezman, F. Thauvin, N. Fekir, A. Martial, O. Giroud na Kylian Mbappe.


Source: Shaffih DaudaRead More