Martin Kadinda anyakua tuzo Nigeria ‘Africa’s Designer of The Year 2018’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Martin Kadinda anyakua tuzo Nigeria ‘Africa’s Designer of The Year 2018’

Mbunifu wa Mavazi ya Kiume Martin Kadinda akiwa nchini Nigeria ameshinda tuzo ya ‘Africa’s Designer of The Year 2018’ katika usiku wa week ya maonyesho ya mavazi ya Kiume aliyofanyika Logos Nigeria.


Kadinda ambaye aliondoka nchini Tanzania siku chache zilizopita alisema usiku wa maonyesho hayo atautumia kwaajili ya uzinduzi brand yake mpya ya nguo za kiume aliyoipachika jina la Shababi.@themanawards Africa’s Designer of The Year 2018…

…..!! 🤴🏼Am Humbled. The World Is ReadY👑 .

.

Shukurani Za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa Afya, akili na ubunifu….


Shukrani kwa Wizara Ya Habari, michezo na Utamaduni Kupitia Basata.

.

.

Shukurani za Dhati kwa Familia, mama Yangu, dada na kaka zangu.. wadogo zangu na ndugu zangu wote…


@wemasepetu and Ur Amaizing Team wema and die Hard fans🙌🏽🙌🏽🙌🏽..


MK empire with All the Love and Support always🙌🏽


My friends mnajijua.. cant mention all of you.. ila asante sana.


Las Vegas nawasahauje sasa😂🤣😂😂.


Majira... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More