MARUFUKU KAMPUNI ZA UPIMAJI ARDHI BINAFSI KUPIMA ARDHI ZA WANANCHI BILA WAKUU WA WILAYA KUJUA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MARUFUKU KAMPUNI ZA UPIMAJI ARDHI BINAFSI KUPIMA ARDHI ZA WANANCHI BILA WAKUU WA WILAYA KUJUA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza na wakazi wa Manispaa ya Tabora katika viwanja vya Chipukizi kabla ya kuanza kutatua igogoro ya ardhi zao jana.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Tabora Bosco Nduguru akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi(hayupo katika picha)  wakati wa  ziara ya siku moja ya kiongozi huyo ya kutatua migogoro ya ardhi mkoani humo jana. Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Tabora ambao wana matatizo katika ardhi wakisubiri kukutana na  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (hayupo katika picha ) ili asikilize shida zao wakati wa  ziara ya siku moja ya kutatua migogoro ya ardhi mkoani humo jana.picha na Tiganya Vincent

NA TIGANYA VINCENT- RS TABORASERIKALI imepiga marufuku kampuni binafisi za upimaji ardhi  ambazo zimekuwa zikiingia makubaliano ya upimaji ardhi za wananachi bila hata uongozi wa Wilaya husika kuwa na taarifa juu ya uwepo wa zoezi hili hal... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More