Marufuku matumizi ya Bitcoin nchini Iran - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marufuku matumizi ya Bitcoin nchini Iran

Makamu wa rais-benki kuu, Nasır Hakimi amesema kuwa serikali ya Iran imepiga marufuku shughuli zote za matumizi ya sarafu ya kidijiti-Bitcoin. Akizungumza na shirika la habari la Iran, amesema kuwa shughuli na Bitcoin zilizuiliwa na uamuzi wa baraza kuu la Fedha za kupambana na Blackchain. Nchini Iran, ni marufuku kuuza/kununua sarafu ya Bitcoin. Kupanda kwa [...]


The post Marufuku matumizi ya Bitcoin nchini Iran appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More