Marufuku mkandarasi aliyeboronga kuhamia mkoa mwingine - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marufuku mkandarasi aliyeboronga kuhamia mkoa mwingine

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amepiga marufu wakandarasi wanaoharibu miradi, kuhamishiwa maeneo mengine. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Prof. Mbarawa ametoa agizo hilo leo tarehe 7 Novemba 2018 wakati akizungumza na wasimamizi wa mamlaka za maji nchini. “Kitendo cha Mkandarasi kuharibu miradi ya kazi mkoa mmoja na akahamishiwa mkoa mwingine naomba kuanzia ...


Source: MwanahalisiRead More