Marufuku Wakurugenzi Manispaa, Halmashauri kusimamia uchaguzi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marufuku Wakurugenzi Manispaa, Halmashauri kusimamia uchaguzi

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha  kifungu cha sheria cha  7(3)kinayowaruhusu Wakurugenzi wa Manspaa na Halmashauri kuwa wasimamizi wa Uchaguzi nchini. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Leo tarehe 10 Mei mwaka 2019 Uamuzi huo na Jaji Utuganile Ngwala kunatokana na kesi namba 8 ya mwaka 2018 iliyofunguliwa na Bob Chacha Wangwe Mwanachama wa ...


Source: MwanahalisiRead More