Marufuku wanaosimamia biashara kuwa vyanzo vya mapato - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marufuku wanaosimamia biashara kuwa vyanzo vya mapato

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan amezitaka taasisi za umma zenye jukumu la kudhibiti na kusimamia biashara na mazingira, kutokuwa vyanzo vya mapato. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Mama Samia ametoa wito huo tarehe 7 Juni 2019 katika mkutano wa Rais John Magufuli na wafanyabiashara nchini , uliofanyika ...


Source: MwanahalisiRead More