Marufuku ya Mifuko ya Plastiki Tanzania bado ni kigugumizi - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Marufuku ya Mifuko ya Plastiki Tanzania bado ni kigugumizi

Wakati nchi ya Rwanda na Kenya zikifanikiwa katika udhibiti wa matumizi ya mifuko ya Plastiki, na kuwa ni miongoni mwa nchi zilizopiga hatua katika uhifadhi wa mazingira katika ukanda wa Afrika Mashariki, bado kumekuwa na kigugumizi cha lini mifuko ya Plastiki,  itapigwa marufuku nchini Tanzania, licha ya kuwepo jitihada kupitia midahalo na mijadala mbalimbali juu


Source: Kwanza TVRead More