Masanja Atetea Kitendo Cha Diamond Kuvaa Kikuku na Kudai Mungu Anaruhusu Kwenda na Fasheni - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Masanja Atetea Kitendo Cha Diamond Kuvaa Kikuku na Kudai Mungu Anaruhusu Kwenda na Fasheni

Mchekeshaji maarufu Masanja Mkandamizaji ambaye sasa amegeukia Injili na kujiita Mchungaji amefunguka na kumkingia kifua Diamond Platnumz kwa kitendo chake cha kuvaa kikuku.


Masanja amefunguka Kwenye mahojiano na Masanja Tv, na kudai kuwa kwa imani yake ya Kikristo kuvaa kikuku mguuni kwa mwanaume sio dhambi kwani inahesabiwa kama cheni yoyote unayoweza kuvaa na Mungu hajakateza watu kwenda na fasheni.Kama mchungaji nasema mwanaume kuvaa kikuu mguuni sio dhambi, lakini nikawaambia kwenye maadili kuvaa kikuku unamaanisha nini? soo shinda ikiwepo kwenye maadili haina maana ni dhambi watu wanadhani kuwa vitu wasivyovipenda wao kuviona, vitu ambavyo sio maadili mazuri wanafikiri kuwa ni dhambi kuna tofauti sana juu ya hivyo vitu. Kwa hiyo narudia tena kusema mwanaume kuvaa kikuku katika Biblia sio dhambi”.Lakini pia Masanja amesema Cheni ni cheni tu na hakuna mtu wa kumpangia binadamu mwenzie sehemu ya kuvaa na hakuna cheni ya mwanamke zote ni cheni tu.Kikuku ni cheni tu, hakuna c... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More