Masanja Awachana Wanaotumia Mitandao Kutangaza Biashara na Maswala Dini kwa Pamoja - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Masanja Awachana Wanaotumia Mitandao Kutangaza Biashara na Maswala Dini kwa Pamoja

Moja ya watu maarufu waliowahi kupata umaarufu sana kupitia vichelesho lakini baadae alikuja kuwa mchungaji na mjsiriamali wa kujitegemea amefunguka na kuwasema baaadhi ya watu wanaofanya biashara katika mitandao ya kijamii kucha tabia ya kuchanganya mambo katika kurasa zao.


Masanja anasema kuwa watu wamekuwa na tabia ya kufungua akaunti katika instagram kisha wanakuwa wanatangza biashara lakini baadae wanazana kuchnganya na mwasala ya dini na siasa humuhumo.


Masanja anawashauri watu hao kuwa waangalifu na kama wanataka kufanya vitu vyao binafsi basi inabidi wafungue akaunti zingine tofauti na hizo za biashara.


Una akaunti katika mitandao ya kijamii na umeipa jina la biashara , unaposti biashara yako ya kuku au mayai….lakini hapohapo unaanza kuposti dini na siasa unaanza kuchanganya mambo tena,..tumia akaunti ya biashara kwa biashara na fungua akaunti nyingine na utengeneze ambao  utaposti mambo yao binafsi.


 


 


 


 


The post Masanja Awachana Wanaotumia Mitandao Kutangaza Biashar... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More