Masanja Mkandamizaji Amuita Kanye West Chizi - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Masanja Mkandamizaji Amuita Kanye West Chizi

Muigizaji wa Vichekesho Bongo ambaye hivi sasa amegeukia kuwa Mchungaji Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji amejikuta akimtolea povu zito Rapa kutoka Marekani Kanye West.


Sakata hilo lilianza pale ambapo Msanii huyo kutoka Marekani ambaye anajulikana kwa vituko vyake aliandika Kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa:We are Gods’ akimaanisha, ‘Sisi ni Miungu“.Baada ya Kanye kuandika maneno hayo aliwachanganya mashabiki wengi ambao ni wacha Mungu akiwemo Masanja ambaye alishindwa kujizuia na kumwagia povu zito na kumuita chizi.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter Masanja aliandika:Huwaga una umama sana.”“Acha kuvuta bangi.”“Wewe ni kenge.”


 


The post Masanja Mkandamizaji Amuita Kanye West Chizi appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More