MASAUNI AFANYA ZIARA SHINYANGA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MASAUNI AFANYA ZIARA SHINYANGA


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kangeme Kata ya Uloa Wilayani Ushetu mkoani Shinyanga ambapo katika mkutano huo uliofanyika leo masuala mbalimbali yanayohusu kudhibiti uhalifu yalizungumzwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi wa Polisi Richard Abwao, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kangeme Kata ya Uloa Wilayani Ushetu mkoani Shinyanga ambapo katika mkutano huo uliofanyika leo masuala mbalimbali yanayohusu kudhibiti uhalifu yalizungumzwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More