MASAUNI AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI VISIWANI ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MASAUNI AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA BARABARANI KUTOA ELIMU YA USALAMA BARABARANI VISIWANI ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimuelekeza dereva bodaboda jinsi ya kufunga kofia ngumu wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na dereva wa daladala wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiMkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zanzibar,Kamishna Msaidizi Robert Patrick, akiwaonyesha wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More