Masele: Sijawahi kukurupuka - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Masele: Sijawahi kukurupuka

STEPHEN Masele, Mbunge wa Shinyanga Mjini (CCM) amesema, hajawahi kukurupuka katika kusimamia jambo lolote. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Alitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kutoka  kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge jijini Dodoma kuhusu tuhuma za utovu wa nidhamu. “Fuatilia rekodi zangu huko nyuma, chochote ninachokisema ninasimamia haki, ...


Source: MwanahalisiRead More