MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati) akiongoza kikao kilichokuwakutanisha Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge (kushoto) na Maseneta kutoka Bunge la Ufaransa (kulia) katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Balozi wa Ufaransa nchini.Mkuu wa Msafara wa Maseneta toka Bunge la Ufaransa Seneta Ronan Dantec (wakwanza kushoto) akizungumza wakati wa kikao kilichokuwakutanisha Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge (kulia) na Maseneta kutoka Bunge la Ufaransa (kushoto) katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge na Maseneta toka Bunge la Ufaransa katika picha pamoja mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Toka kulia ni Mweyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mhe. Emmanuel Mwakasaka, Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Nape Nnauye, Seneta Cyril Pelleah, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Az... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More