Mashabiki Biashara Utd wajipanga kususia mechi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Biashara Utd wajipanga kususia mechi

MUSOMA.  RAHA ya mpira ni ushindi asikwambie mtu,sasa hali imechafuka katika Klabu ya Biashara United baada ya mashabiki kuikatia tamaa timu hiyo na kutishia kutojitokeza uwanjani kuishangilia kutokana na matokeo yasiyoridhisha katika uwanja wa nyumbani.


Source: MwanaspotiRead More