Mashabiki Simba Mwanza wamuombe MO - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Simba Mwanza wamuombe MO

Wakati hali ya sintofahamu ikiendelea kutanda baada ya kutekwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji 'Mo' na watu wasiojulikana, mashabiki wa soka jijini Mwanza wamesema kwa sasa ni kumwombea apatikane akiwa salama.


Source: MwanaspotiRead More