Mashabiki Simba ni mwaka wa kicheko tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Simba ni mwaka wa kicheko tu

MASHABIKI wa Simba wajiandae tu kwa sasa, kwani Kaimu Rais wa klabu hiyo, Salim Abdallah 'Try again' amesema msimu huo wanachama, mashabiki na wapenzi wa Msimbazi hawatakaukiwa na tabasamu kwa mambo mazuri yajayo.


Source: MwanaspotiRead More