Mashabiki Simba, Yanga Mwanza walianzisha mechi ya watani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Simba, Yanga Mwanza walianzisha mechi ya watani

Wakati wadau wa Soka nchini wakisubiri kwa hamu mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba, jijini Mwanza tambo zimekuwa kali kwa kila upande ukisifia kikosi chake na kwamba ushindi ni lazima.


Source: MwanaspotiRead More