Mashabiki wa Simba wamkomalia Shaffih Dauda kuhusu ‘UNDERDOG’ - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki wa Simba wamkomalia Shaffih Dauda kuhusu ‘UNDERDOG’

Kwa dhati kabisa naipongeza Simba kwa ushindi ushindi mnono wa mabao 3-0 ilioupata dhidi ya JS Saoura, wameutumia vizuri uwanja wa nyumbani.


Kila mchezaji alionesha kiwango cha juu kwenye mchezo wa jana.


Sasa huku nimekutana na mashabiki wa Mnyama…wakanivamia wananibana kwa nini naisema timu yao ni UNDERDOG!Source: Shaffih DaudaRead More