Mashabiki wa Yanga Arachuga wamgeuzia kibao Zahera - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki wa Yanga Arachuga wamgeuzia kibao Zahera

Katibu mkuu wa Yanga tawi la Arusha Destrich Kateule alisema kuwa walitegemea Chirwa angerudi kuendelea kutumikia mkataba wake lakini hali imekuwa tofauti jambo wanaloamini limesababishwa na kocha wao mkuu Mwinyi Zahera.


Source: MwanaspotiRead More