Mashabiki waanza kumiminika Taifa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki waanza kumiminika Taifa

MASHABIKI wa soka hususani wale wa Yanga wameanza kumiminika kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam japo ni tofauti na ilivyokuwa Jumapili iliyopita kwenye Kilele cha Wiki ya Mwananchi, timu yao ilipocheza na Kariobang Sharks uliomalizika kwa sare ya 1-1.


Source: MwanaspotiRead More