Mashabiki Wabadilisha Muonekano wa Mboso. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Wabadilisha Muonekano wa Mboso.

Msanii Maromboso amefuguka na kusema kuwa kwa sasa amekuwa na kazi kubwa sana ya kubadili muoneknao wake kwa sasa  ya mashabiki zake ambao wanasapoti muziki wake.


Maromboso amba kwa sasa amekuwa akifanya vizuri kila kukicha kutokoana na kazi nzuri anazofanya na nyimbo mpya anazotoa kila siku anasema kuwa imembidi kubadilisha vile anavyoonekana.


Maromboso anasema kuwa watu wengi walikuwa wakimshauri kuwa amekuwa akionekana kama walimu hivyo ilimlazimu kubadili muoneknao ili kuendana na haiba ya mwanamzuki.


Akiongea na mwandishi , maromboso anasema “Nimebadili muonekanao kwa sababu watu wengi wamekuwa wakiniambia kuwa nimekuwa nikionekana kama teacher”


The post Mashabiki Wabadilisha Muonekano wa Mboso. appeared first on Ghafla! Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More