Mashabiki Wafunguka ,Mamuzi ya BASATA Yanavyowaathiri Wasanii. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Wafunguka ,Mamuzi ya BASATA Yanavyowaathiri Wasanii.

Baada ya BASATA kutangaza mabadiliko ya tozo kwa wasanii wa muziki na wa filamu nchini , mashabiki na wasanii wameibuka na kulalamikia maamuzi hayo ya basata huku wakisema kuwa hii ni kama kuua sanaa na kutukomea wasanii nchini.


Swala kubwa linakuja pale ambapo kutakuwa na tozo kubwa kwa msanii atakap fanya matangazo na kufanya matamasha mbalimbali na bei atakayotakiwa kulipa kwa basata pindi atakapo taka kufanya hivyo.


Kwa mujibu wa Basata , kampuni itakayo mtumia msanii kufanya naeo tangazo ni lazima anapaswa kulipa kiasi cha shlingi milioni 5 kwa kila tangazo bila kujali ukubwa na udogo wa tangazo, lakini pia bila kujua kuwa itapatikana shilingi ngap katika hilo tangazo.


Ukiachana na wasanii kulalamika na kusema kuwa hiyo ni swa na kuua sanaa nchini, lakini pia hata wasanii wenyewe wanaona jinsi wanavyokandanmizwa katika hilo huku wakisema kuwa kuna baadhi ya matangazo yatapata faida kubwa kuliko mengine hivyo haikupaswa kuweka bei ambayo iko fixed lakini walipaswa kupanga asilimia ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More