Mashabiki Wampiga Dongo Wastara Mwezi huu wa Ramadhani. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Wampiga Dongo Wastara Mwezi huu wa Ramadhani.

Mwanadada wastara amekumbwa na maneno mazito katika mitandao ya kijamii baada ya kuweka picha yake akiwa anasali na ndipo watu walipoanza kumshambulia kwa maneno na kumwambia kuwa mtu mwenye imani kweli ya dini hawezi kufabya alivyofanya yeye  wakati anasali.


moja ya shabiki wake wanaomfuata aliandika maneno ya kumshushua wastara huku akisema”sasa wewe unasali au unaonyesha watu kuwa wewe ni mcha mungu na kama unaamua kufanya hivyo kama kuna mashindano basi umechemsha,kila kitu unaweka instagram, eeh umechemsha.”


Mashabiki wamekuwa wakikwerwa na tabia za wasanii kuweka picha na kutangaza kila kitu wanachofanya katika mitandao ya kijamii na kuwatolea maneno makali.


The post Mashabiki Wampiga Dongo Wastara Mwezi huu wa Ramadhani. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More