Mashabiki wamshusha Davido jukwaani nchini Namibia, wahuni wamvua saa na viatu (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki wamshusha Davido jukwaani nchini Namibia, wahuni wamvua saa na viatu (+video)

Jana usiku msanii wa muziki kutoka Nigeria, Davido amejikuta akishushwa jukwaani na mashabiki wake waliokuwa wamepagawa na show yake jukwaani kunako uwanja wa mpira wa Sam Nujoma.


Davido

Davido ambaye alipanda Jukwaani na msanii mwenzie kutoka Nigeria, RunTown alijikuta akivutwa na mashabiki wake huku walinzi wa show hiyo wakijitahidi kumchomoa kutoka kwa mashabiki hao.


Tayari imeripotiwa kuwa wakati anavutwa na mashabiki hao, wahuni walimvua saa na viatu kitu ambacho kilimfanya ashindwe kuendelea na show. 


The post Mashabiki wamshusha Davido jukwaani nchini Namibia, wahuni wamvua saa na viatu (+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More