Mashabiki Yanga waondoka kinyonge Simba ikimchapa mwarabu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashabiki Yanga waondoka kinyonge Simba ikimchapa mwarabu

Mashabiki wachache wa Yanga waliofika kushuhudia mchezo wa Simba na JS Saoula ya Algeria, walijikuta wakiondoka kinyonge baada ya Wekundu hao wa Msimbazi kuwachapa Waarabu mabao 3-0.


Source: MwanaspotiRead More