Mashindano ya Bongo Star Search yaja kivingine, Madam Rita atoa ombi kwa serikali - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashindano ya Bongo Star Search yaja kivingine, Madam Rita atoa ombi kwa serikali

Serikali imeshauriwa kuangalia kwa jicho la tatu sanaa ya muziki kwa kuwa inaweza kutoa ajira kwa vijana wengi.Hayo yameelezwa leo Septemba 11 na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark inayoandaa mashindano ya kusaka vipaji ya muziki, Bongo Star Search (BSS) Rita Paulsen.


Rita ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa msimu wa tisa wa BSS unaotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 22 mkoani Mwanza.


Amesema muziki ni kiwanda ambacho kikiimarishwa vyema kinaweza kuwa na matokeo chanya ndani ya jamii.


” Tunachokifanya sisi ni kutoa jukwaa kinachofuata hapo msanii anatakiwa kujiongeza na kupata msaada wa wadau wengine ikiwemo serikali ili kumuwezesha kufanya muziki ajira yake,”


“Tunaomba Serikali iangalie vizuri kuhusu muziki wapo vijana wengi hawana ajira lakini wanapenda muziki tukiungana tunaweza kuwasaidia,”


Katika msimu huu BSS imeingia ubia na StarTimes inayomilikiwa na Kampuni ya Star na mashindano hayo yataruka kupitia channel ya ST Swahili.


Meneja Masoko StarTimes, David Mali... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More