'MASHINE' MEDDIE KAGERE AKIMBURUZA BEKI WA MAN UNITED, ERIC BAILLY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

'MASHINE' MEDDIE KAGERE AKIMBURUZA BEKI WA MAN UNITED, ERIC BAILLY

Beki wa Ivory Coast, Eric Bailly anayechezea klabu ya Manchester United ya England (kushoto) akimfukuzia mshambuliaji wa Rwanda, Meddie Kagere katika mchezo wa Kundi H kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Cameroon uliofanyika Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali jana. Ivory Coast ilishinda 2-1, bao la Rwanda likifungwa na Kagere wa Simba SC 


Source: Bin ZuberyRead More