Mashine mpya ya Utrasound kuwanufaisha watoto wachanga Muhimbili - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashine mpya ya Utrasound kuwanufaisha watoto wachanga Muhimbili

Mkuu wa Kitengo cha Sheria Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wa pili kutoka kushoto, Bi. Veronica Hellar, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo Prof. Lawrence Museru akimshukuru muwakilishi kutoka The German Society for Tropical Paediatrics (GTP), Dkt. Antke Zuechner (wa pili kutoka kulia) kwa kutoa msaada wa mashine ya Utrasound ambayo itatumika katika wodi ya watoto wachanga kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya moyo, kichwa na tumbo.Dkt. Zuechner akiwapatia maelezo watalaam wa Muhimbili namna ya kutumia mashine hiyo ambayo imetolewa kwa ajili ya wodi ya watoto wachanga.Dtk. Zuechner akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa Muhimbili mara baada ya kukabidhi mashine hiyo.


Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imepatiwa msaada wa mashine ya kisasa ya Utrasound ambayo itatumika katika wodi ya watoto wachanga kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya moyo, kichwa na tumbo. 
Mashine hiyo yenye teknolojia ya juu na uwezo mkubwa wa kuchunguza magonjwa hayo ina thamani ya dola za kima... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More