Mashine za kisasa upimaji ardhi zaletwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mashine za kisasa upimaji ardhi zaletwa

KAMPUNI ya Land Network Ltd ya jijini Dodoma, kwa kushirikiana na kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya upimaji ardhi Kolida ya nchini China, wameleta mashine za kisasa ambazo zitasadia kutatua changamoto ya ardhi nchini. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jiji humo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Land Network Ltd, ...


Source: MwanahalisiRead More